Naomba kujuzwa

Naomba kujuzwa

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
277
Hivi ni msanii yupi Wa bongo tunayeweza kusema ameweka maisha yake ya usanii(kazi) mbali na maisha yake ya familia(mapenzi).Licha na kwamba ni maarufu , wameoa watu maarufu wanaishi private life away from media attention.

Majirani wetu Uganda na Kenya wapo wengi.
Mfano;
Chameleon,
Nameless/Wahu
Juakali,
Wyre
Nazizi...... etc

Je, Bongo wapo ama ni maigizo?
 
Swali kama hili kuna haja ya kuuliza au ni mtazamo wapo weng Kama afande sele,prf j,
 
Back
Top Bottom