na Ay anajitahidiMarlaw ingawa sahv simsikii akiimba
Mwana fa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja tu awapige bakora maana hakuna namna!Mrs Mengi naona sasa hivi anakoeleka km anapagawa sana eeehh!!
Maana sijui akutegemea km ataishi maisha Yale..
Umeona ehh u madam unaanza mshinda yaaniMrs Mengi naona sasa hivi anakoeleka km anapagawa sana eeehh!!
Maana sijui akutegemea km ataishi maisha Yale..
Umeona ehh u madam unaanza mshinda yaani
Not to that extent...!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja tu awapige bakora maana hakuna namna!
Ana shida gani Madame, mi namuona anaishi private kiainaMrs Mengi naona sasa hivi anakoeleka km anapagawa sana eeehh!!
Maana sijui akutegemea km ataishi maisha Yale..
umesahau kama huyo kiba king muswati wa tz?Barnaba.... Ommy dimpoz.... Anaependa sifa ni huyu dangote tuu
Eve we humuoni zile mbwembwe mpk kwenye jakuzi kama idris sultaniAna shida gani Madame, mi namuona anaishi private kiaina