[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mimi mbona nimetulia na ni msanii mkubwa huku kwetu nzega, mkoani tabora.. sina drama wala drums
Ha ha ha ha ha a aah mi naona kawaida eti sio kama kina zariEve we humuoni zile mbwembwe mpk kwenye jakuzi kama idris sultani
mapichapicha kaaah!
Hahaha jamani maulid kwangu imeisha vzr asante kwa kuniongezea siku mkuu!!!Mimi mbona nimetulia na ni msanii mkubwa huku kwetu nzega, mkoani tabora.. sina drama wala drums
Zari hadhi yake ni ya chini ya kibongo fleva fleva tu.Ha ha ha ha ha a aah mi naona kawaida eti sio kama kina zari
Imebidi nkapitie account yake, ha ha mi nmeona kawaida Madame ningekuwa mi ndo yeye hadi chupi zangu zingekuwa insta ha ha ha ha ha haZari hadhi yake ni ya chini ya kibongo fleva fleva tu.
Jack Mme alompata sio wa kufanya show off za kila siku...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] loohImebidi nkapitie account yake, ha ha mi nmeona kawaida Madame ningekuwa mi ndo yeye hadi chupi zangu zingekuwa insta ha ha ha ha ha ha
na zinavyonuka sasaImebidi nkapitie account yake, ha ha mi nmeona kawaida Madame ningekuwa mi ndo yeye hadi chupi zangu zingekuwa insta ha ha ha ha ha ha
Kwanza hakuna msanii mwenye private,sema walio na afadhari. Hapa nitakuwekea ya Jose chameleon,ila hata hao wengine wapo hivo hivo huu ni mfano tu.Hivi ni msanii yupi Wa bongo tunayeweza kusema ameweka maisha yake ya usanii(kazi) mbali na maisha yake ya familia(mapenzi).Licha na kwamba ni maarufu , wameoa watu maarufu wanaishi private life away from media attention.
Majirani wetu Uganda na Kenya wapo wengi.
Mfano;
Chameleon,
Nameless/Wahu
Juakali,
Wyre
Nazizi...... etc
Je, Bongo wapo ama ni maigizo?
Ndugu zangu wasanii hawana private,ila wapo wenye afadhari. Hapo FA anaonyesha kuwa kapanda first class.-Mr blue
-Mwana FA
-Dully sykes
-Proffessa J
-Baby J
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukimsifia sana................!!Mrs Mengi naona sasa hivi anakoeleka km anapagawa sana eeehh!!
Maana sijui akutegemea km ataishi maisha Yale..
We kilaaaza kweli alikiba ana mkee??? Si anaye ule mtowa ma mimba ex wa Diamond jokateMbn alikiba nae hakuna anaemjua mke wake
Yule ni mke ake au demu ake???We kilaaaza kweli alikiba ana mkee??? Si anaye ule mtowa ma mimba ex wa Diamond jokate
Huyo Blue ndo katulia-Mr blue
-Mwana FA
-Dully sykes
-Proffessa J
-Baby J