Naomba kujuzwa

Naomba kujuzwa

Zari hadhi yake ni ya chini ya kibongo fleva fleva tu.
Jack Mme alompata sio wa kufanya show off za kila siku...
Imebidi nkapitie account yake, ha ha mi nmeona kawaida Madame ningekuwa mi ndo yeye hadi chupi zangu zingekuwa insta ha ha ha ha ha ha
 
Hivi ni msanii yupi Wa bongo tunayeweza kusema ameweka maisha yake ya usanii(kazi) mbali na maisha yake ya familia(mapenzi).Licha na kwamba ni maarufu , wameoa watu maarufu wanaishi private life away from media attention.

Majirani wetu Uganda na Kenya wapo wengi.
Mfano;
Chameleon,
Nameless/Wahu
Juakali,
Wyre
Nazizi...... etc

Je, Bongo wapo ama ni maigizo?
Kwanza hakuna msanii mwenye private,sema walio na afadhari. Hapa nitakuwekea ya Jose chameleon,ila hata hao wengine wapo hivo hivo huu ni mfano tu.

Jose%2BChameleone%2B4.jpg
 
ungesema hao wengine hujiwi kama wameoa. Na hiyo ndio privacy. Mr samsun
 
bizman
Mzee njenje
Mule mule FBI
20%
Gabo Zegamba
Wabogojo
Adili chapakazi
Mchiz Mox
kwa wadada....
Chiku keto
Polina zongo
Khadija kimobitel......the list is endless mkuu ...shule na umri unaokuja na hekima huwa si miongoni mwa walivyojaliwa wasaniii dunian kote
 
Kingwendu. Nani anamjuwa mkee wa comedy number one in Africa Kingwendu
 
Back
Top Bottom