Isichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa
Just out of curiosity questioning...... [emoji144] [emoji144] [emoji144]
jina lake ndio chama dola![emoji32][emoji32] mbona jina si la kiTZ hilo..Ndio kwanza nasikia kutoka kwako mkuu ngoja waje watujuze
Kwani humu siyo mitandaoni?Isichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa
Just out of curiosity questioning...... [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Anko leo ata kandorooo sikupiiiIsichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa
Just out of curiosity questioning...... [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Dem wa afande Chama(tzshaderoom) alimchamba Mange, sasa bi mdada baada ya kuchambwa nae akafukua kaburi la tzshaderoom akagundua kumbe anachepuka na mume wa mtu ambae ndo Chama [emoji1] [emoji1] [emoji28] Mange si ndo kuanza kuharibuu yeye kaacha kumchamba tzshaderoom akawa anatoboa siri za afande, mbona afande alimuomba msamaha kwa niaba pia akamstopisha mchepuko wake asiendelee na Mange... Lakini too late mkewe Chama akamjua mwizi wake hahahhaa hahahaIsichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa
Just out of curiosity questioning...... [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Unatoa wapi muda wa kusoma thread kama hizi?Huyo mange mnatoa wapi muda wa kumsikiliza!!!?
Wallah nimetoka kapa naona lugha ya mafumbo tu hapaDem wa afande Chama(tzshaderoom) alimchamba Mange, sasa bi mdada baada ya kuchambwa nae akafukua kaburi la tzshaderoom akagundua kumbe anachepuka na mume wa mtu ambae ndo Chama [emoji1] [emoji1] [emoji28] Mange si ndo kuanza kuharibuu yeye kaacha kumchamba tzshaderoom akawa anatoboa siri za afande, mbona afande alimuomba msamaha kwa niaba pia akamstopisha mchepuko wake asiendelee na Mange... Lakini too late mkewe Chama akamjua mwizi wake hahahhaa hahaha
mmmh hatuonani siku hiziIsichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa
Just out of curiosity questioning...... [emoji144] [emoji144] [emoji144]
[emoji7] [emoji7] [emoji7]Vyuma vimekaza mpaka maembe yameadimika
Unatoa wapi muda wa kucomment kwenye post kama hizi?Unatoa wapi muda wa kusoma thread kama hizi?
Mshana bana [emoji28] sijaongea kimafumbo mbona. Umeulizia Chama si ndio?Wallah nimetoka kapa naona lugha ya mafumbo tu hapa