Naomba kujuzwa

Naomba kujuzwa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Isichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa
Just out of curiosity questioning...... [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
tapatalk_1512017724629.png
 
Isichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa
Just out of curiosity questioning...... [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Kwani humu siyo mitandaoni?

Anyway ngoja tumpekuwe kwanza huyo @afandechamadola
 
Isichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa
Just out of curiosity questioning...... [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Anko leo ata kandorooo sikupiii
 
Isichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa
Just out of curiosity questioning...... [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Dem wa afande Chama(tzshaderoom) alimchamba Mange, sasa bi mdada baada ya kuchambwa nae akafukua kaburi la tzshaderoom akagundua kumbe anachepuka na mume wa mtu ambae ndo Chama [emoji1] [emoji1] [emoji28] Mange si ndo kuanza kuharibuu yeye kaacha kumchamba tzshaderoom akawa anatoboa siri za afande, mbona afande alimuomba msamaha kwa niaba pia akamstopisha mchepuko wake asiendelee na Mange... Lakini too late mkewe Chama akamjua mwizi wake hahahhaa hahaha
 
Wallah nimetoka kapa naona lugha ya mafumbo tu hapa
 
Isichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa
Just out of curiosity questioning...... [emoji144] [emoji144] [emoji144]
mmmh hatuonani siku hizi
 
Wallah nimetoka kapa naona lugha ya mafumbo tu hapa
Mshana bana [emoji28] sijaongea kimafumbo mbona. Umeulizia Chama si ndio?
Nami nakujibu Chama ni jina la afande mmoja huko Oysterbay,,,ametajwa sana na kuumbuliwa mambo yake na Mange kisa ni mdada mmoja wa instagram alikua anatukanana na Mange,,ila style ya Mange akikutukana hakuachiiii hadi anasaka watu wako wa karibu anawatukana,ndio kilichomkuta huyo dada anajiita tzshaderoom huko instagram alivyomtukana Mange, yeye Mange akamchamba hadi mchepuko wa tzshaderoom ambae ni Afande Chama.....hujaelewa bado!?
 
Back
Top Bottom