Naomba kujuzwa

Naomba kujuzwa

Salanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
364
Reaction score
44
Habari wanajamvi. Tafadhali kwa mwenye taarifa za kozi zinazotolewa na chuo cha ustawi wa jamii kinachosimamiwa na wizara ya afya. Imetokea nikisikia sikia lakini sijafanya chochote kujua ,hivyo mwenye information amwage hapa jamvini kwa faida ya wote.
 
social work.human resources na social protection kama sijakosea
 
Back
Top Bottom