Naomba kujuzwa

Mimi picha tu!yaan dada amejikunja utafikiri kalalia kitanda!duh penzi la hivi utumwa!mi sipooo!
hapo chacha kipenda roho kaka wawatu sasa hula nyama mbichi
 
du we mkali i cant u
Gently bite your partners tongue so that they can't pull it away. Flutter your tongue against the tip of theirs and it will drive him insane if they're not ready for it. Put a small piece of ice in your mouth, then open mouth and kiss your partner, passing them the ice with your tongue, slowly roll your tongue into their mouth then massage their tongue and mouth.
 
point taken
 
anatakiwa ajitoe kwako. yaani yeye aishi akichukua nafsi yako, "akupende kama nafsi yake". labda sasa kazi kwako wewe unamjuaje anaye kupenda kama anavyojipenda??. hapo lazima kwanza wewe umjue yeye, kisha uangalie ktk kuishi kwake anatoa nafasi gani kwa nafsi yako, hapo kama kweli amejitoa kwako, utagundua kuna wakati hajitendei haki yeye, na haonyeshi hata dalili kuwa hajitendei haki, lakini anatenda yale ambayo wewe ndiyo haswa ungelipenda yatendwe kwako.

kujitoa kwa mpenzi siyo kubebana kwa staili ya kitanda kwenye maji, kama picha yetu inavyoonekana hapo
 
umenena maneno manzito mnooooooooooooo itabidi nianze sasa kumchunguza kama kweli hajitendei haki koz of me ............
 
umenena maneno manzito mnooooooooooooo itabidi nianze sasa kumchunguza kama kweli hajitendei haki koz of me ............

kumbuka kujitambua wewe mwenyewe kwanza, yaani ufahamu haswa personality yako,kwa maana hapo utaona vile vinavyokufanya wewe uonekane wewe. halafu sasa uangalie anaikubali vipi hiyo, especially when your personality is against his
 
Mpenzi wako akufanyie yale yote unayoyapenda. Aminata msalimie shemeji eeh.

mzima ww mpz loh! nimekumisijeeeeeeeee ................ucjali zimefika
hapa inabidi nishtuke...manake nimezingoja hizi salamu za Hus hadi nimechoka ...humu ndani HUSSY kaambiwa kuwa ziimefika......kumbe mimi ni mshika mapembe...lol!!!! manake sijapokea salamu yoyote ati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…