BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
akinibusu macho tu baaasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
point taken..........thanx mnookumbuka kujitambua wewe mwenyewe kwanza, yaani ufahamu haswa personality yako,kwa maana hapo utaona vile vinavyokufanya wewe uonekane wewe. halafu sasa uangalie anaikubali vipi hiyo, especially when your personality is against his
ndio nilikua njiani on ma way to ur place honey..............sorry umeona text ya husninyo kabla mm cjakufikishia ..........hapa inabidi nishtuke...manake nimezingoja hizi salamu za Hus hadi nimechoka ...humu ndani HUSSY kaambiwa kuwa ziimefika......kumbe mimi ni mshika mapembe...lol!!!! manake sijapokea salamu yoyote ati
mpenz wako anatakiwa akufanyie nn ili ujue kweli anakupenda sana na kila neno analosema juu yako kweli lamtoka moyoni.......msinishushue naitaji tu kujua ..natanguliza shukurani zangu za dhati kwa maoni yako utakayotoa ......thanx mooo.View attachment 39945
Mi akinipa tiGo naaamini kabisa kabisa ana mapenzi ya dhati vinginevyo ananiibia tu penzi
Mie naiweza hiyo...tupinge!.
huku simo kabsaaaaaaaaa..........................na ww SI umelike nn hapo sema mapema kama ndio zako nikupige chini fasta kabla hujaniliza loh!Mi akinipa tiGo naaamini kabisa kabisa ana mapenzi ya dhati vinginevyo ananiibia tu penzi
huku simo kabsaaaaaaaaa..........................na ww SI umelike nn hapo sema mapema kama ndio zako nikupige chini fasta kabla hujaniliza loh!
mungu wasamehe viumbe wako!Mi akinipa tiGo naaamini kabisa kabisa ana mapenzi ya dhati vinginevyo ananiibia tu penzi
Gals, asilani huwezi jua mwenzio kama anakupenda, anakupenda sana na anakupenda kutoka uvunguni mwa moyo wake.
Kumbuka kuna mstari mwembamba sana baina ya upendo, penzi, matamanio na mvuto.
Be yourself and play your part (tenda wema nenda zako usingoje shukrani).