Naomba kujuzwa

F 4 REAL

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
19
Reaction score
0
habari wana jamvi,mimi ni miongoni mwa walimu wapya ngazi ya shahada kutoka UDSM nimepangwa mkoa wa MARA wilaya ya BUNDA ,naomba kujua je shule za high level zipo hapo maana nimepangwa masomo ya advance na ninapenda sana kufundisha advance,naombeni msaada lau nizijue kwa majina.asanteni
 
Bakulutu, F 4 REAL, Musoma High School a.k.a Musoma Tech. iko wilaya ya MUSOMA (M), pamoja na Mara High School a.k.a Mara Sec. Wilaya ya BUNDA haina shule ya sekondari ya serikali ya A-level, labda kama imeanza kuwepo jana au leo.
 
Last edited by a moderator:

Acha uongo kwenye post huwa hawapangi o-level wala A-level na ni masomo gani ambayo yapo A-level na O-level hayapo?
 
Acha uongo kwenye
post huwa hawapangi o-level wala A-level na ni masomo gani ambayo yapo
A-level na O-level hayapo?

ni kweli masomo yote yako o level lakin masomo ka general studies,economics, ni ya A-level,mim nimesoma history na political science as teaching subjects hence obviously ps huwa inakua either civics kwa o -level or Gs kwa A-level hicho ndo nimemaanisha
 
Bakulutu, F 4
REAL
, Musoma High School a.k.a Musoma Tech. iko wilaya ya
MUSOMA (M), pamoja na Mara High School a.k.a Mara Sec. Wilaya ya BUNDA
haina shule ya sekondari ya serikali ya A-level, labda kama imeanza
kuwepo jana au leo.

asante ndugu
 
Last edited by a moderator:

Mbona wapo wengi tu ambao wamechukua ps na masomo mengine na wamepangiwa sehemu ambazo hakuna shule za A-level na wamebaki kufundisha civics na somo lingine vilevile wa economic wanafundisha commerce na bookiping.
 
Yaan waalimu vimeo mno eti anajisifu ni mhtimu wa udsm, nikujuze tu hakuna za high level ila kuna a'level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…