habari wana jamvi,mimi ni miongoni mwa walimu wapya ngazi ya shahada kutoka UDSM nimepangwa mkoa wa MARA wilaya ya BUNDA ,naomba kujua je shule za high level zipo hapo maana nimepangwa masomo ya advance na ninapenda sana kufundisha advance,naombeni msaada lau nizijue kwa majina.asanteni