Lord Lofa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,390 Reaction score 2,396 Apr 10, 2013 #1 wangwana naomba kufahamu faida na hasara kati ya coz za mining na coz za business and economics na tofauti zake katika suala la kujiajiri au kuajiliwa kama una uzoefu kati ya hizi taaluma hapo juu naomba ushauri wako
wangwana naomba kufahamu faida na hasara kati ya coz za mining na coz za business and economics na tofauti zake katika suala la kujiajiri au kuajiliwa kama una uzoefu kati ya hizi taaluma hapo juu naomba ushauri wako
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,796 Apr 10, 2013 #2 sina uzoefu ila business maoni yangu lakini
J Jembe angu Member Joined Apr 8, 2013 Posts 13 Reaction score 2 Apr 10, 2013 #3 bily said: sina uzoefu ila business maoni yangu lakini Click to expand... uchague kunyoa au kusuka wahenga walisema ukimwamsha aliye lala..........
bily said: sina uzoefu ila business maoni yangu lakini Click to expand... uchague kunyoa au kusuka wahenga walisema ukimwamsha aliye lala..........