naomba kujuzwa

naomba kujuzwa

Lord Lofa

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2011
Posts
2,390
Reaction score
2,396
wangwana naomba kufahamu faida na hasara kati ya coz za mining na coz za business and economics na tofauti zake katika suala la kujiajiri au kuajiliwa kama una uzoefu kati ya hizi taaluma hapo juu naomba ushauri wako
 
sina uzoefu ila business maoni yangu lakini
 
Back
Top Bottom