Habari wana JF,
Naomba kuelimishwa hasa kwa wale ambao ni wanasheria je ni taratibu gani zinapaswa kufwatwa ili kumshitaki kiongozi katika mahakama ya kimataifa ya The Hague? Je ni nani mwenye mamlaka au haki yakumshtaki kiongozi kwenye mahakama hii? Napenda kuelemishwa naamini wapo wengine pia watakaofaidika kutokana na michango yetu katika post hii.
Karibuni!
Inamaana jamani hamna mtu anayefahamu kuhusu hii issue ya the Hague au mmeamua kupotezea????!!!!!!!!!!
Taratibu zipo na wajuzi wanachambua sasa watafunguka wakiguswa,unaweza uka google pia.Ila ishu ni very complecated nadhani,unaweza kushtakiwa na kesi nzito zenye ushahidi kabisa lakini kama uko poa na wakubwa hamna shida,wakubwa wakikuchoka wala hushtakiwi unauwawa kabisa tena na mahakama za nchi yako! Sadam ni mfano,ya nini the Hague!?? Kwa uhalifu aliofanya Al Bashiri Darfur anatakiwa kuwa madarakani leo?! na nadhani hata kibali cha kumkamata tayari. we acha tu. Si uliskia kivumbi alicho acha Obama Senegal wamemkamata Rais wa zamani tayari.
Ni hivi hiyo ICC inaweza kuinstitute proceedings kwa njia kuu 3..1 personal initiative of the prosecutor..wa ICC mfano ni Kesi ya Ocampo six iliyo wahusu akina uhuru kenyata etc 2. Government ya hiyo nchi..mfano museveni aliombaga kumshitaki sijui jamaa gani yule 3 njia ya mwisho ni ya kupitia kwa UN security council resolution mfano kilicho tokea libya security council ndo ilipitisha azimio hilo kama unapenda jua zaidi download rome statute 1998..over..!!!Habari wana JF,
Naomba kuelimishwa hasa kwa wale ambao ni wanasheria je ni taratibu gani zinapaswa kufwatwa ili kumshitaki kiongozi katika mahakama ya kimataifa ya The Hague? Je ni nani mwenye mamlaka au haki yakumshtaki kiongozi kwenye mahakama hii? Napenda kuelemishwa naamini wapo wengine pia watakaofaidika kutokana na michango yetu katika post hii.
Karibuni!
Ni hivi hiyo ICC inaweza kuinstitute proceedings kwa njia kuu 3..1 personal initiative of the prosecutor..wa ICC mfano ni Kesi ya Ocampo six iliyo wahusu akina uhuru kenyata etc 2. Government ya hiyo nchi..mfano museveni aliombaga kumshitaki sijui jamaa gani yule 3 njia ya mwisho ni ya kupitia kwa UN security council resolution mfano kilicho tokea libya security council ndo ilipitisha azimio hilo kama unapenda jua zaidi download rome statute 1998..over..!!!