je kuna dawa ya kusaidia kukuza cognition level kwa ajiri ya watoto wanaopata taabu shuleni?, na je kuna madhara yoyote kutumia dawa hizo na kama yapo nini mnashauri,na kama kuna aliyetumia mtoto alifika level gani ya elimu.na gharama zake zikoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.