Naomba kukaribishwa jamani mi ni mgeni

Karibu ndugu, lakini uwe makini na unachopost. Jamaa wanatukana kishenzi humu ukipost pumba!! Teh, teh, teh!
 
Mimi binafs siju maana ya pm naomba mnijuze jamani pamoja na hayo yote unakaribishwa sana mgeni ndani ya jf........
 
Mimi binafs siju maana ya pm naomba mnijuze jamani pamoja na hayo yote unakaribishwa sana mgeni ndani ya jf........

kwa kilugha ni "PRIVATE MESSAGE"
Icho ni kirefu chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…