Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Ni aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa.
Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu.
Ahsante
Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu.
Ahsante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante babu akeeKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
NashukuruKaribu sana!
Kule wapi?Karibu mzee, kule hvi ndio jikoni
Mie nipo Tengeru Chama Ila mara nyingi huwa nashuka Mererani kusaka mawe na hukaa huko miezi kadhaa kisha narudi tena Chama.Karibu baba kisarii kutoka tengeru.
Mitaa yangu ya kujidai maeneo ya xanx pale kushuka duluti mpaka Nelson Mandela😁
Tunaomba Picha yako yenye kivuli cha blue nyuma ili usajiriwe kwenye kanzidata za JFNi aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa.
Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu.
Ahsante
Duluti unaenda kula shada? Kule nilienda juzi nkakuta vijana wanasoma ndege huku wanakula msubaKaribu baba kisarii kutoka tengeru.
Mitaa yangu ya kujidai maeneo ya xanx pale kushuka duluti mpaka Nelson Mandela😁
Karibu mwamba, nyikani JF,kila kitu na cha kila aina kipo🤪Ni aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa.
Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu.
Ahsante
MMUKule wapi?
Jogging kipindi nasoma tengeru boys paleDuluti unaenda kula shada? Kule nilienda juzi nkakuta vijana wanasoma ndege huku wanakula msuba
Ahaa! Fresh sanaa, mshamba tengeru ndio home.Jogging kipindi nasoma tengeru boys pale