Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikushauri ichukue mkopo kwa mtu binafsi. Nenda tu bank maana Kuna bank zinatoa mkopo ndani ya wiki 1 tuMlolongo wa benki ni mrefu,nilikua nahitaji ndani ya wiki ijayo niwe nimepata uo mkopo
Ni risk sana kuchukua mkopo kwa mtu binafsi,nenda benki au tafuta alternative nyingine mkuuHabari za mda huu wana JF!
Nakuja kwenu tena nimekwama na bila kuomba msaada siwezi kujinasua. Nina shida ya mkopo wa haraka wa Milioni 5 dhamana yangu naweka hati ya nyumba(Napatikana Dar es Salaam).
Kuna biashara zangu mbili zinazoendesha familia yangu zimekwama. Bila kujiboost na mkopo hizi biashara zinakufa,naombeni sana sana kwa mwenye uwezo wa kunikopesha anifuate pm au kama kuna ndugu au jamaa ake anaweza fanya ivyo naomba pia anifuate PM.
Nitashukuru sana nikifanikisha jambo hili,naweka dhamana ya hati ya nyumba kuonesha huitaji thabiti wa mkopo na sipo hapa kumtapeli mtu.
Tutaandikishiana mbele ya mashahidi na wanasheria ili pande zote mbili ziwe na amani. Nikuhakikishie mkopeshaji, mkopo wako utakua sehemu salama na utalipwa ndani ya mda husika tutaokubaliana.
NB: Kuhusu riba na mda wa mrejesho wa mkopo wote tutajadiliana pamoja (mimi na mkopeshaj).
Natanguliza shukrani zangu kwenu
Ningependa kufahamu mkuu hnp kwenye issue ya kuchkua mkopo kwa mtu binafsi.Ni risk sana kuchukua mkopo kwa mtu binafsi,nenda benki au tafuta alternative nyingine mkuu
Wengine nasikia wanatumia nguvu za giza, utapumbazwa au siku ya marejesho anapotezea anaweza kusafiri au akapotea tu ,siku anakuja kuibuka huku riba imekua kubwa ,mwisho wa siku anachukua nyumba kiulaini kabisa .kua makiniNingependa kufahamu mkuu hnp kwenye issue ya kuchkua mkopo kwa mtu binafsi.
Umesema ni risk Sana, Labda nieleweshe mkuu ni kivp inakuwa risk?
Natanguliza shukurani zangu.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Oooh aisee kumbe ni hatari Sana.Wengine nasikia wanatumia nguvu za giza, utapumbazwa au siku ya marejesho anapotezea anaweza kusafiri au akapotea tu ,siku anakuja kuibuka huku riba imekua kubwa ,mwisho wa siku anachukua nyumba kiulaini kabisa .kua makini
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kpnd cha marejesho anaweza akawa anapotea hasa mkopo ukiwa unakaribia kuisha, atataka akupige riba kubwa ambayo utashindwa kuimudu ili akupore nyumba, anaweza kukupumbaza biashara uloitegemea kupitia mkopo uo ibume n.k.Ningependa kufahamu mkuu hnp kwenye issue ya kuchkua mkopo kwa mtu binafsi.
Umesema ni risk Sana, Labda nieleweshe mkuu ni kivp inakuwa risk?
Natanguliza shukurani zangu.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Huu wa kwako si mkopo bali ni unyonyaji, unakopesha 5M unataka rejesho la 8.5 M yaani riba 70%??? Nashukuru sana mkuu[emoji23][emoji23] nina shida ila haimaanishi kua sina akili.Mkuu umeshapata pesa?
Umesema ni pesa utapeleka kwenye a well established business kwahiyo utatengeneza profit.
Kama utaweza kurudisha milioni nane na laki tano na ishirini elfu ndani ya miezi kumi na mbili(kila mwezi urudishe laki saba na elfu kumi),njoo PM kesho tukutane na wanasheria na mashahidi,nikupatie hiyo pesa unayoitaka.
NB:Tutaenda kuikagua nyumba kwanza