Naomba kukopeshwa Milioni 5 dhamana hati ya nyumba

Ni risk sana kuchukua mkopo kwa mtu binafsi,nenda benki au tafuta alternative nyingine mkuu
 
Ni risk sana kuchukua mkopo kwa mtu binafsi,nenda benki au tafuta alternative nyingine mkuu
Ningependa kufahamu mkuu hnp kwenye issue ya kuchkua mkopo kwa mtu binafsi.
Umesema ni risk Sana, Labda nieleweshe mkuu ni kivp inakuwa risk?
Natanguliza shukurani zangu.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Wengine nasikia wanatumia nguvu za giza, utapumbazwa au siku ya marejesho anapotezea anaweza kusafiri au akapotea tu ,siku anakuja kuibuka huku riba imekua kubwa ,mwisho wa siku anachukua nyumba kiulaini kabisa .kua makini

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Oooh aisee kumbe ni hatari Sana.

Niliwahi kusikia hata zile issue za kumwachia mtu alinde nyumba yako, awe anakaa free nayo ni kama hivyo ulivyosema.
 
Mkuu umeshapata pesa?
Umesema ni pesa utapeleka kwenye a well established business kwahiyo utatengeneza profit.
Kama utaweza kurudisha milioni nane na laki tano na ishirini elfu ndani ya miezi kumi na mbili(kila mwezi urudishe laki saba na elfu kumi),njoo PM kesho tukutane na wanasheria na mashahidi,nikupatie hiyo pesa unayoitaka.
NB:Tutaenda kuikagua nyumba kwanza
 
Ningependa kufahamu mkuu hnp kwenye issue ya kuchkua mkopo kwa mtu binafsi.
Umesema ni risk Sana, Labda nieleweshe mkuu ni kivp inakuwa risk?
Natanguliza shukurani zangu.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Kpnd cha marejesho anaweza akawa anapotea hasa mkopo ukiwa unakaribia kuisha, atataka akupige riba kubwa ambayo utashindwa kuimudu ili akupore nyumba, anaweza kukupumbaza biashara uloitegemea kupitia mkopo uo ibume n.k.
 
Huu wa kwako si mkopo bali ni unyonyaji, unakopesha 5M unataka rejesho la 8.5 M yaani riba 70%??? Nashukuru sana mkuu[emoji23][emoji23] nina shida ila haimaanishi kua sina akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…