Tunguli ya Rais
Member
- Jan 25, 2019
- 49
- 60
Habari wakuu, ehee niko apa tena kuomba msaada kwa ajili ya mwili wangu. Nahitaji mganga mchawi kwa ajili ya kunitolea uchawi mwilini, maana nikifanya dawa inafanya mwanzo halafu inafifia, tiba zote nafanyiwa adi kupandisha na nyota, kuaguliwa na kusunzwa kwa dawa, nikitoka hapo niko fresh, lakini baada ya muda inafifia. Kwa anaejua mganga mchawi ambaye yuko vizuri kwa kutoa uchawi na vifungo mwilini na pia kwa gharama nzuri. Ikiwezekana iwe maeneo ya Pemba, tanzania(mwanza) au pwani-kenya(kilifi, mombasa au ata lamu )
Asante kwa atakaenitolea wazo la kunisaidia.
Asante kwa atakaenitolea wazo la kunisaidia.