KUKU_UFUGAJI
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 951
- 1,877
Habari ya mihangaiko ndugu zangu. Leo naomba kuleta ombi langu kwenu kuuliza kuhusu hii SUBWOOFER YA SEAPIANO 993, kwa mtu ambaye amesha nunua ama kuitumia.
Je ziko vizuri, zina mziki mzuri, quality ya sound na base ikoje.
Budget yangu ni laki 2 mpaka laki 2 na elfu 30, nahitaji subwoofer ya bei hizo japo najua zipo zenye quality nzuri zaidi ya hii seapiano ila nina zungumzia subwoofer zinazo range kwenye bei hiyo ya laki 2 mpaka laki 2 na elfu 30.
Nina taka kuchukua hiyo seapiano 993 naombeni ushauri wenu je ni nzuri ninunue ?!?!