KUKU_UFUGAJI
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 951
- 1,877
Safi Mtaalamu, Hakika Design yake wameipatia sana, kama ina reflect performance yake watauza sana kama ilivyokua kwa huyu mkongwe SP-100x Series.Niaje mzee!?
Sound yake sijawahi kuisikiliza
Ila it seems kua na mziki mzito kwa kuangalia
Speaker design
Bei yake
NB USINUNUE KABLA YA KUISIKILIZA.
Huyu hana mpinzani hadi keshoSafi Mtaalamu, Hakika Design yake wameipatia sana, kama ina reflect performance yake watauza sana kama ilivyokua kwa huyu mkongwe SP-100x Series.
View attachment 3274319