Naomba kumfahamu Shamim Mwasha

Huyu jaji Elineza Luvanda mara ya kwanza kumuona ilikuwa miaka ya 2011-2013 wakati huko alikuwa ni hakimu mkuu wa mahaka ya wilaya Dodoma.

Kuna jamaa yangu alikuwa anakesi ya wizi alinunua lori la cement ya wizi, sasa yule jamaa yangu akapata washauri wakamshauri aende akamhonge hakimu Luvanda. Hakimu Luvanda alikataa kuchukua rushwa na akamwambia yeye ni mlokole ali rushwa, akamshauri apambane na kesi yake na yeye kama hakimu atatoa haki kulingana na ushahidi. Yule jamaa yangu alishinda ile kesi kwani Jamhuri aikupeleka mashahidi muhimu.

Pointi yangu ni kwamba huyo Mh. Luvanda hapokei rushwa na huwa anasimama kwenye haki.
 
Huyo ni noma[emoji848]

Ila hawa wakikata rufaa watachomoka
 
Mmh ana bata za kufa mtu...chanzo anauza kitomoto[emoji848]
Naskia yule mtoto wake mkubwa wa kike baba yake ni tajiri..alimwachia mapesa na bonge ya nyumba..nyumba ambayo WCB wana ofisi. Ni ya mtoto resty..nadhani anapata pesa hapo.
Sina uhakika lkn na mimi naskia tu
 
Naskia yule mtoto wake mkubwa wa kike baba yake ni tajiri..alimwachia mapesa na bonge ya nyumba..nyumba ambayo WCB wana ofisi. Ni ya mtoto resty..nadhani anapata pesa hapo.
Sina uhakika lkn na mimi naskia tu
Umeelewa mada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…