Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Binam upoo!nimesubiria sana safari ya kwenda mbugani mmeona kimyaaa[emoji16][emoji23][emoji23]au ulighairi
Nimekumiss mrembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumiss mrembo
Ohoooo!!!Nilimsifia kumbe anaharibu vijana wetu!
Profesa unaonekana kwa msimu na msimu sana, pole na majukumu ya kila sikuOhoooo!!!
Si huyu ndio yule mke wa yule jamaa wa ile biashara ile!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums wireless internet
2014 Kuna mtu alitoka nyepesi atimae wamekamatwahuyu shamim na mumewe wamekamatwa jana kule mbezi beach,kumbe huwa wanauza madawa ya kulevya.
Asante mkuu pole ya wote!!!hili ndio chimbo letu la ukweli tunapotea tunarudi mambo yanaendelea kusonga uzuri.Profesa unaonekana kwa msimu na msimu sana, pole na majukumu ya kila siku
Si umuulize mangekimavi uo uchafu utakuwa umeutoa kwake
Pamoja sana mkuuAsante mkuu pole ya wote!!!hili ndio chimbo letu la ukweli tunapotea tunarudi mambo yanaendelea kusonga uzuri.
Una maonoSi huyu ndio yule mke wa yule jamaa wa ile biashara ile!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums wireless internet
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shamim hutamkuta kwenye mipasho ...nice chic!
Drug Dealer? Au Shamimu mwingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I love shamimu ni mcute hapendi blah blah namkubali sana hasa jicho lake ndo usiseme kumbe alishajifungua hongera zake
Kwa kuuza Madawa ya kulevya au VibubuMoja ya Celebrity mwenye mafanikio nchini
HahahahaaaMuwage mnaangalia tarehe ya post...hii post ya 2014 wewe unamtaja mange
Moja ya Celebrity mwenye mafanikio nchini