eze malongo
Member
- Jun 29, 2023
- 5
- 3
Ndugu zangu hivi history ya mwandishi nguli hapa Tanzania Shaaban Robert imehifadhiwa wapi?
Nimesikia alifanya makubwa sana katika sekta ya Lugha lakini watu hawamuenzi ipasavyo, tasnia ya lugha hamzungumzii kwa lolote licha ya vitabu vyake kufanya vizuri A level secondary lakini ni kama hatambuliki na vizazi vya sasa.
Pia anayefahamu vizuri kuhusu yeye anijuze kuwa ni raia wa wapi, amezikwa wapi, halafu majina yake mbona ni kislamu na kikristo?