Naomba kumjua huyu mlimbwende

Naomba kumjua huyu mlimbwende

Ndio ni MTz huyo..nyakyusa moja

Anaitwa Poshyqueen..real name jackline

Kitambo sana uyu dem,enzi za kwa mujibu mwaka 2014 [emoji3]


What the fu.ck? Hivi kuna wanyakyusa wazuri duniani kweli....tuache utani, ebu tuambizane ukweli, huyu ni mnyakyusa kweli huyu?
 
What the ****? Hivi kuna wanyakyusa wazuri duniani kweli....tuache utani, ebu tuambizane ukweli, huyu ni mnyakyusa kweli huyu?
Mkuu huyo mtoto mbna wa kawaida...au umedata na hilo shepu [emoji3][emoji3]

Sema hakua hivo mwanzo
 
Sasa mkuu tembea uone...yani umejifungia geto unasema hakuna wanyakyusa wazuri? [emoji3]


Nilisoma Iyunga Sec School pale Mbeya, yaani nilikuwa nalia kila nikienda mjini kwa sababu sikuwahi onana na mwanamke mzuri hata siku moja. Wanawake wazuri walikuwa walimu wetu tu na wageni.
 
Ukienda profile yake picha za nyuma kabisa kalikuwa hakana hips wala msambwanda na wala kulikuwa hakuna dalili,masilicone tu wamemjaza huko nchi za watu,mwanafunzi kutwa yupo south,mara dubai,mara uk,ni KAMALAYA tu kanauza KISHI na MZUTI.
Yani alikua hiviiiiView attachment 955393
3183af8d359553911538194184a99322.jpg
 
Back
Top Bottom