Naomba kumjua huyu mlimbwende

Naomba kumjua huyu mlimbwende

Tatizo wa hivi huwa ni kwa show tu ila mapenzi huwa hawajui kabisaaa ni sawa na yale mabaunsa yenye six pack kumbe kitandani hoi na mengine hayana marinda!
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png


Hapo ndio pakujijutia.
Sema siku hizi kamekuwa matawi..kananata flan hivi..
 
Huyu demu amechanganya damu ana asili ya kinyarwanda kwao forest mpya mbeya namfaam vzuri coz nmesoma nae o level na advance sangu high school mbeya zamani Hakka na mshepu huo hapo nna uhakika ka ji boost parefu sana pia ni mtoto wa mchungaji zamani alikua descent sana saiv kageuka kua slay queen
 
Back
Top Bottom