Naomba kumjua mbunifu wa hizi mbao hapa kileleni mwa Mlima Kilimanjaro

Anaitwa Ernest Shayo, kwa kipindi hiko alikuwa na miaka 78 na alichaguliwa yeye kama ishara ya kuwaheshimu wanajamii wa eneo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…