ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Thread closedNi Rostam Aziz mkuu.
Huo muda wakutaka kumjua mmiliki wa hizo bidhaa,ungeutumia kutafuta hela ya ugali wa kula na wanao tu,maana haitokusaidia chochote mkuu,Habari za asubuhi,
Ningependa kujuzwa mmiliki wa kampuni ya uuzaji na usambazaji wa gas mihan gas au kwa jina lingine Taifa gas.
Kuna mtu ananiambia mmiliki ni GSM je ni kweli?