Naomba kumjua mmiliki wa kampuni ya TAIFA Gas Mihan

Naomba kumjua mmiliki wa kampuni ya TAIFA Gas Mihan

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Habari za asubuhi,

Ningependa kujuzwa mmiliki wa kampuni ya uuzaji na usambazaji wa gas mihan gas au kwa jina lingine Taifa gas.

Kuna mtu ananiambia mmiliki ni GSM je ni kweli?
 
Habari za asubuhi,

Ningependa kujuzwa mmiliki wa kampuni ya uuzaji na usambazaji wa gas mihan gas au kwa jina lingine Taifa gas.

Kuna mtu ananiambia mmiliki ni GSM je ni kweli?
Huo muda wakutaka kumjua mmiliki wa hizo bidhaa,ungeutumia kutafuta hela ya ugali wa kula na wanao tu,maana haitokusaidia chochote mkuu,
 
Back
Top Bottom