Naomba kumjua msoma classifieds wa Clouds FM

Kidawa_hiphop

Senior Member
Joined
Jul 7, 2018
Posts
184
Reaction score
274
Kuna sauti ya kike huwa inasoma Classfieds(mfano yale matangazo ya vyuo na shule) pale Cloudsfm kwa ubora wa juu kabisa, matamshi mazuri+sauti nzuri corporate.

Nadhani hakuna msoma classfieds anayemfikia kwa sasa. Please naomba jina lake kwa wanaomjua
 
Atakuha yuhule blaza Kapiga uyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…