vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Habari wadau,
Wale wanaume wa mikoani mkae mbali na huuu uzi.............Maanake nyie ndo mnasema Elimu bure ni kitanda kilichotandikwa kuongea maongezi ya kawaida......Sasa mi nawaambia msichafue maneno mnayoelekezwa..........
Okay in short ni kuwa nataka kumjua kwa uzuri huyu dada wa kuitwa Barbara Hassan.....Mi napenda sana utangazaji wake...Anaonekana kama mtu mmoja matawi ya kuleeeeee af pia kama vile shule imekaa sawa...
Kikubwa zaidi kilichonivutia ni maongezi yake anaonesha ana pesa sana huyu dada...Kuanzia alipojitolea mil 1 kwa yule dada aliyeparalyse...Leo nimemsikia anasema alimnunulia rafki yake zawadi ya gauni la harusi mil 1...Mara aelezee kuna kipindi alikuwa mauritius au Uk....In short anaonekana si mtu wa kawaida...
Hivi kuna la ziada au ni utangazajo tu wa clouds ndo unalipa sana?...Pia mwenye CV yake naomba atuwekee hapa tafadhali