Naomba kumjua vizuri Barbara Hassan

Kwanza inaandikwa Barbara ila nadhani inatamkwa Babra.

Pili siku hizi amejirekebisha sana....amekuwa hata anawasahihisha wengine wakikosea neno la kiswahili....ni hatua kubwa sana hii.
 
Huyo n Babura sio Babra in short atishi kwalolote Ila n mtu anaejua kupangilia mipango yake Kama unapenda mpira mfananishe na chicharito yule mmexico aliekuwa man u Babura anajua tuu kuongea maneno ya mjini na kutaja vitu vya gharama anatumia muda mwingi kutafuta taarifa na kuunga connection za watu wenye pesa ukija kwenye Mambo ya muhimu n buree kabisa.

Muulize kuhusu mchana ukimpa laki akale atarudisha sh ngap, au Jana alitumia sh ngap au aliwasiliana na Nani usiku muulize jina la chakula Cha gharama atakwambia. Ila muulize kwann wakandarasi wa SGR kutoka China wameshindwa kuja na Dawa ya Corona utakimbia
 
Ana sauti ya kumtoa nyoka pangoni (vijana wa zamani wanaelewa) ....ni mrembo (kama unaona tofauti ni wewe) ....anajiheshimu na kuishi kistaa bila kujidhalilisha kutafuta attention. Ni mtu wa old skool sana ...binafsi namzimia ile mbaya.

Unapenda mamong'o
 
Yeye ni anchor..haitaji kujua mambo kibao..acha ushamba. Hakuna Morning show anchor anayeweza kumzidi Barbara

Kazi ya kujua mambo mengi ni ya kina Kipanya na Cza
 
Yeye ni anchor..haitaji kujua mambo kibao..acha ushamba. Hakuna Morning show anchor anayeweza kumzidi Barbara

Kazi ya kujua mambo mengi ni ya kina Kipanya na Cza
We n mj.... Ingekuwa una akili ingekuwa umeelewa Ila ujuaji na mapenzi binafsi unakusumbua hakuna shoobya asubuh iliobamba Kama ya Fina, Gerald na masoud na hakuna mtangazaji wa like mbunifu Tanzania Kama salama j na hakuna kipindi Bora Cha redio kikichovutia Kama Friday 9t live ya sebo baadae sebo na salama pia hakuna kipindi kikichobamba zaidi machoni kwa watu Kamaze comedy Yakina joti, city sound na city sound 2 balloon Cha seki kikifuatiwa na plannet bongo ya salama J na hakuna igizo Bomba Kama la maisha jumamosi enzi za itv n itv kikifuatiwa na kidedea jumapiki huku jumatatu mtoto atumwi dukani kwa Mambo hayo wakimsubiri joti na mpoki wa enzizile bia kusahau bishanga na saga la ndugu na mke usisahu ucheshi wa zembela na maksi enzi zile.

Tanzania Babra yupo pale kwa moo wengine n Babura
 
Yuko beautiful..vijana wa siku hizi wanaita pisi Kali.
 
Ni f
Ni full package
 
Kuandika tu hujui..quality za watangazaji bora kwa kila nafasi utazijuaje?.

Usiniquote tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…