Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Mshana Jr.
Umenena na kutoa somo vyema ila kumbuka sio kila mtu anapitia kwenye hii situation,
It's a part of environmental issues, kila mwana wa adamu anapitia kwenye matatizo yake kwa nyakati mbali mbali aghalabu sio wote ambao watakumbana na hayo matatizo. Yanawezekana yakawa tofauti na hayo.

[emoji12] [emoji12]
 
Nimeongea in general terms in most n common situations kwa teenagers.... Ni aalimia ndogo sana ambao hawapitii haya
 
Nimeongea katika ujumla wake in general terms in most n common cases ambazo wanakutana nazo teenagers
 
ahsante kwa kuwapa elimu wadogo zetu nilikuwa kwenye hiyo age kama miaka miwili iliyopita, ila nimejifunza kitu
 
Japo nimechelewa sana kuiona post hii ila nimefarijika sana hongera sana mkuu
 
Bwama mshana ungecheza na wa 18-25 huku kwingine tushakuwa mijitu mizima tumekomaa mpaka nasaha zinadunda
Hamjakomaa mmekomazwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…