Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Nondo kwa wahusika...
 
Brother Ningekua Na uwezo wa kuonana na wewe Sijui ningekupa Zawadi Gani Ila Umenipa Dhahabu..Nimejifunza Kitu...Be Blessed
 
Brother Ningekua Na uwezo wa kuonana na wewe Sijui ningekupa Zawadi Gani Ila Umenipa Dhahabu..Nimejifunza Kitu...Be Blessed
[emoji120][emoji120][emoji120]karibu Msata... Asante sana kwa compliment... Napokea kwa unyenyekevu
 
Hakika maneno mazuri ni sadaka, Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri mkuu "Mshana jr.
 
Well said Mkuu, umetema madini sana kwa rika husika. Wengi hupotea kwa kukosa maarifa ya kukabiliana changamoto za rika husika wanalopitia ila kwa maarifa haya uliyotoa yatasaidia wahusika kujitambua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…