incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Habari wakuu, Habari za mwaka Mpya?
Nahitaji Kampuni isiyo babaifu ya uuzaji wa Magari Used wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo. Ndoto zangu tangu mwaka Jana zilikuwa za kupata Usafiri baada ya kuuza Gari langu tangu mwaka Juzi kutokana na changamoto za kimaisha, ila mwaka mzima uliopita nilikuwa napambana kutunza akiba walau nipate Gari la kutembelea ila imekuwa ngumu sana kila nikifkia kiwango flani changamoto zinaibuka, Hakika nimepambana kurejesha usafiri hadi sasa mwaka mpya umeanza sijafanikisha, Naomba kwa anaefaham kampuni isiyobabaifu wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo nianze huduma hiyo.
Walau ndani ya mwaka 1 au miez 6.
Au hata kama kuna mdau hapa anayo Gari isiyo na kipengere kama ataruhusu nimpe pesa kwa awamu nipo tayari tuandikishane, Mimi ni kijana nina makazi ya kudumu kumaanisha nimejenga ninaishi nyumban kwangu kama atapatikana mdau atakuja had home atapafahamu na tutaandikishana.
Kusema kwel hakuna fedheha na changamoto kama ninazopitia maana nilizoea kutumia Gari ila kwa sasa napata changamoto sana hasa linapokuja suala la kutoka na familia kwenda maeneo kama Hospital etc inalazimu nikodishe kibajaj.