SheriaKatiba ni nini tuanzie hapo ?
Msaidie mshusha uziSheria
Timu ya aina gani?Wakuu habari ya Muda huu na poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Nije moja kwa moja kwenye mada. Nahitaji kusaidiwa sample ya katiba ya timu yeyote ya mpira wa miguu .Anayeweza kunisaidia ndugu zangu nitashukuru sana.
Kwanza yupo yanga au simba?Msaidie mshusha uzi
πππππKwa soka hili la bongo hiyo katiba inaweza kuwa na kurasa moja na imeandikwa mstari mmoja.
Mo ashakwambia kati ya watu 10 ,saba ni simbaKwanza yupo yanga au simba?
Team za kawaida za kitaa inayoshiriki ligi daraja la 4
I
Sawa,katiba inatengenezwa na wataalam wa sheria na kupitishwa na mkutano wa clubWanachama na ina uongozi pia kama Mwenyekiti ,Katibu nk