Naomba kupata Katiba ya Timu ya mpira wa miguu

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348
Wakuu habari ya Muda huu na poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.

Nije moja kwa moja kwenye mada. Nahitaji kusaidiwa sample ya katiba ya timu yeyote ya mpira wa miguu .Anayeweza kunisaidia ndugu zangu nitashukuru sana.
 
Timu ya aina gani?
Proffesionals au armature?

Umiliki wa timu
Uma (KMC,Jkt,Polisi )
Wanachama (coastal union na Yanga)
Company (azam, Mtibwa, Ihefu)
Cooperation (simba)

Timu yako ni ya mfumo upi?
 
Back
Top Bottom