Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoa huduma ni wengi sana ungetaja eneo lako ingekua ni rahisi mtu kukusaidia. Siku hizi wanaweza fika hata 50-100Habari waungwana
Naomba kujua watoa huduma ya Fiber Dar es salaam, kama utakuwa na mawasiliano yao itakuwa poa ukiweka ikibidi na bei za huduma zao pia.
Naomba kuwasilisha.
Hakuna kama fiber ya Yas. Yani ni huduma pekee ambayo ninaweza kuimbia mapambio. 0714 100 100.Habari waungwana
Naomba kujua watoa huduma ya Fiber Dar es salaam, kama utakuwa na mawasiliano yao itakuwa poa ukiweka ikibidi na bei za huduma zao pia.
Naomba kuwasilisha.
Kariakoo kampuni mpya savannah, nipo kwenye plan ya kuitest ila hata wewe unaweza kuwa mbuzi wa kafara utusaidie mkuu.Eneo nililopo ni Kariakoo- Ilala Dar es Salaam
Habari corporation ni kampuni ya nani??Ttcl
Yas
Halotel
Hao wote bei ni kuanzia 50K kwa package ya 20mbps.
Habari Corporation ilikuwa kampuni ya Ulimwengu akainunua Rostam Aziz.Habari corporation ni kampuni ya nani??
Kuna Kila dalili,mmiliki wake ni mmliki mkubwa wa TTCL,kwani anahujumu TTCL .
TTCL Nimetuma maombi mwezi sasa lakini wapo kimya ata survey hawaleti! Waliachwa kwenye simu na bado wanaachwa kwenye fiber.Habari corporation ni kampuni ya nani??
Kuna Kila dalili,mmiliki wake ni mmliki mkubwa wa TTCL,kwani anahujumu TTCL .
Jiongeze itafika tuTTCL Nimetuma maombi mwezi sasa lakini wapo kimya ata survey hawaleti! Waliachwa kwenye simu na bado wanaachwa kwenye fiber.
Unawapelekea pesa na bado ujiongeze. Ujinga sana mashirika ya umma.Jiongeze itafika tu
Ahsante sana, hawa Raha vipi si wako ontime kwenye kurespond changamoto za mteja? Zuku naona kama malalamiko yamekuwa mengi na wako speed kuja kufanya installations tu ila ukipata changamoto wanajivuta sana.Kariakoo kampuni mpya savannah, nipo kwenye plan ya kuitest ila hata wewe unaweza kuwa mbuzi wa kafara utusaidie mkuu.
Vifurushi vyenye value ni
20mbps kwa 49,000
40mbps kwa 59,000
Kujua kama wapo kwako angalia nje kwenye nguzo za fiber ukiona waya wa orange ujue ni wao.
Alternative ya bei rahisi ni Raha, sema hawa wanaringa na ku chagua majengo, kama jengo lako halina wapangaji wengi wanapotezea,
10mbps kwa 50,000
20mbps kwa 60,000
Then wapo Zuku
10mbps wao ni 69,000 sema wana vi ofa ofa vingi hawa.
Zipo kampuni nyengine kama Go fiber na wengineo ila naona kama vifurushi havina value ama huduma si nzuri
Zuku ndio best customer care mkuu, wanakuja fasta sababu wanapewa commission, hawaji kurekebisha sababu hawalipwi commission, ila ofisini kuna jamaa wakiku convince kulipia na wao wanapewa commission.Ahsante sana, hawa Raha vipi si wako ontime kwenye kurespond changamoto za mteja? Zuku naona kama malalamiko yamekuwa mengi na wako speed kuja kufanya installations tu ila ukipata changamoto wanajivuta sana.