Sijajua upo kinondoni ipi, karibia na Morocco Zuku wapo,
Magomeni tayari kuna Ctv Fiber, kama kinondoni karibu na Magomeni wa jaribu hao.
Pia voda Nilisikia wapo Sinza jaribu pia kuwa cheki nao.
Fiber pia hazifichiki, ukitoka nje angalia kwenye nguzo nguzo ukiziona jaribu kudadisi ni za nani.