NitarudiHabari wadau! Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, naomba kupata maelezo juu ya masharti, hatua , mahitaji ili kufungua micro finance hapa Nchini. Pia sheria na miongozo inayotumika ktk kufungua na kuendesha microfinance.
Pia kima cha chini cha mtaji ili kufungua micro finance.
Taratibu!Habari wadau! Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, naomba kupata maelezo juu ya masharti, hatua , mahitaji ili kufungua micro finance hapa Nchini. Pia sheria na miongozo inayotumika ktk kufungua na kuendesha microfinance.
Pia kima cha chini cha mtaji ili kufungua micro finance.