Naomba kupata maelezo juu ya masharti, hatua na mahitaji ili kufungua microfinance hapa nchini

Naomba kupata maelezo juu ya masharti, hatua na mahitaji ili kufungua microfinance hapa nchini

makindika

Member
Joined
May 6, 2015
Posts
8
Reaction score
6
Habari wadau! Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, naomba kupata maelezo juu ya masharti, hatua , mahitaji ili kufungua micro finance hapa Nchini. Pia sheria na miongozo inayotumika ktk kufungua na kuendesha microfinance.
Pia kima cha chini cha mtaji ili kufungua micro finance.
 
Nitarudi
 
Kwanza sajili Kampuni, halafu tafuta leseni ya biashara toka Manispaa husika, TIN namba, andaa credit policy nenda wizara ya viwanda na biashara ukiwa na nyaraka hizo kwa ajili ya kuomba leseni ya Micro finance ukiwa na laki sita kwa msaada zaini ni pm
 
Habari wadau! Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, naomba kupata maelezo juu ya masharti, hatua , mahitaji ili kufungua micro finance hapa Nchini. Pia sheria na miongozo inayotumika ktk kufungua na kuendesha microfinance.
Pia kima cha chini cha mtaji ili kufungua micro finance.
Taratibu!
1. Usajili wa kampuni

A: Sajili kampuni ambayo ktk MEMAT unaelezea waziwazi shughuli utakazofanya zinazoendana na kuinua kipato cha watu wa chini (hili tutaliona kwa nini). Pia isiwe na mlengo wa kazi zinazofanywa na benki kamili. (Natumaini unataka maelezo ya Microfinance company na sio Microfinance bank). Lazima uweke wazi bayana biashara utakazokuwa wafanya

B: Mtaji wa Microfinance coy ni kuanzia mil 200 (kwa mujibu wa BOT kwa unit Mirofinance na kama una matawi unatakiwa kuwa atleast mia 800)

C: Usajili wa kampuni unafanyika BRELA

D: Baada ya usajili, hatua inayofuata andaa Lending Policy and Manual, ambayo itaelezea sera za biashara yako km Microfinance (Microcredit Coy vs Microfinance Coy vs Microfinance Bank vs Bank)

E: Leseni
Utapeleka maombi ya leseni pale wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji (BRELA) ambapo wataipitia na kuipeleka mbele kwn leseni ya Microfinance Coy hutolewa na BOT. Gharama ni 600,000Tzs. Kwa mujibu wa utoaji leseni, mtaji uanzie mil 200 ndiyo maana juu pale nikasema kwa nn uweke kiasi hicho. Hapo km hauna matawi

Naambatanisha sheria hapa chini
(Inasumbua kuwa uploaded ila jitihada zinaendelea)
 
Attachments

  • IMG-20181007-WA0016.jpeg
    IMG-20181007-WA0016.jpeg
    29.5 KB · Views: 40
Mkuu kama unaona ni changamoto kuanza,jaribu ku-'outsource' kampuni binasi zilizosajiliwa kama 'Consulting firm in business' zinazoweza kukusaidia kupata vielelezo vyote na nyaraka,wewe ni kuwalida ada yao tu.
 
Back
Top Bottom