Naomba Kupata Majibu Kutoka Kwenu Wadau Wa Soka La Tz.

Naomba Kupata Majibu Kutoka Kwenu Wadau Wa Soka La Tz.

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Imekuaje Metacha Mnata kaitwa Kikosi Cha Team Ya Taifa Stars Kama Mchezaji Wa team Ya Young African Wakati Alishaondolewa Yanga?
 
Imekuaje Metacha Mnata kaitwa Kikosi Cha Team Ya Taifa Stars Kama Mchezaji Wa team Ya Young African Wakati Alishaondolewa Yanga?
Mkuuu wewe endelea kupiga Promo ya BASKETBALL kama unavyoamini kwamba utaifikisha mahali, haya Mambo ya FOOTBALL wachana nayo hauwezani kabisa
 
Back
Top Bottom