1. LWP kulikuwa na Slota, Ally G na RockmanNingependa kupata taarifa za makundi ya bongo fleva.... Yaliundwa na wasanii gani, yalianzishwa mwaka gani, na walitoa ngoma gani na pia kupata picha zao
1: Living with Purpose (LWP)
2: Big Dog Pose (BDP)
3: Waswahili by Nature
4: Manzese Crew
5: Wandago
6: Wateule
7: Watengwa
8: Daz Nundaz
9: Manyema Family
10: Muzimuni
11: Solid Ground Family
12: Mabaga Fresh
#9 - Chegge,Dede -goma lao lililowatambulisha mjini ni - Jinsi tulivyo sisi ft Juma nature kundi kutoka kigomaNingependa kupata taarifa za makundi ya bongo fleva.... Yaliundwa na wasanii gani, yalianzishwa mwaka gani, na walitoa ngoma gani na pia kupata picha zao
1: Living with Purpose (LWP)
2: Big Dog Pose (BDP)
3: Waswahili by Nature
4: Manzese Crew
5: Wandago
6: Wateule
7: Watengwa
8: Daz Nundaz
9: Manyema Family
10: Muzimuni
11: Solid Ground Family
12: Mabaga Fresh
Nimeipenda hii... Bado Waswahili by Nature8. Daz nundaz, iliundwa na Ferouz, Daz Mwalimu(Daz baba), Sajo, La Rhumba na Critic
View attachment 2918600