hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Habari za leo wakuu,
Napenda kupata uzoefu wa mtu yoyote ambae amewahi kutumia bima tajwa hapo juu
Mimi natumia hiyo bima na nilipata ajari mwezi wa 12 - 2019 na mambo yote ya kesi yakaisha mwaka huu January.
But mpaka leo October hiyo bima haijalipa kitu chochote.
Waliagiza fundi wao akaja kukagua, wakasema nitafute fundi wangu nae akaja kukagua but Mpaka leo ni zaid ya miez 8 kila ukipiga simu kwao nazungushwa tu.
Kuna mtu yoyote ambae alitumia hii bima na akalipwa kwa wakati?