Mamlaka ya usimamizi wa bima tanzaniaHii TIRA inafanya kazi gani?
Kama hukumuhonga asseser wao imekula kwako, hao jamaa ni wasum ufu mbaya sana. Iliwahi kunikuta kupitia hao jamaa. Walinisumbua mwaka mmoja.wakati wa kunilipa walinipa walichokitaka.Habari za leo wakuu,
Napenda kupata uzoefu wa mtu yoyote ambae amewahi kutumia bima tajwa hapo juu..