Naomba kupata ya haraka kwa wabobezi wa Mitihani hapa JF

Tunapita1

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
561
Reaction score
1,010
Ushawahi kufanya mtihani halafu msimamizi akasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza JAMAN HAKIKISHEN MNASOMA VIZUR MASWALI
 
Aiseeh!! Unaweza feli mtihani kwa hizo kauli.
 
In fact huyo anakuwa amekusaidia unfairly kwa wengine kwani anakuamsha kutambua kuwa huenda swali umelisoma vibaya na unaweza kurekebisha majibu yako.
 
Nimecheka sana,nadhan ulipitia upya maswali na majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…