naomba kupewa elimu juu ya hili swala

naomba kupewa elimu juu ya hili swala

bilemasome

Member
Joined
Oct 31, 2016
Posts
48
Reaction score
9
Pole na majukumu wataalamu.!

naomba kujuzwa juu ya sheria zilizowekwa na serikali katika viwanda vidogo vya uzalishaji,
yaani matakwa mbalimbali yanayotakiwa yafatwe ili hicho kiwanda kitambulike na serikali.

na je kama unataka kuingiza bidhaa yako mpya mtaani yaani hiyo bidhaa imezalishwa na hicho kiwanda kidogo, kuna taratibu/sheria za serikali zifatwe? na nizipi hizo kama zipo?

natanguliza shukrani.
 
Nenda kwenye ofisi za mtaa wako kaulize utapata majibu ya uhakika zaidi
 
Back
Top Bottom