Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kweli ni elimu tosha. Lakini sisi watu wa mikoani tutajuaje kuwa hizi mbao zimetoka sao hill??? Maana wafanya biashara ni wajanja wanaweza kukuambia ni mbao imetoka Sao hil kumbe imetoka Ukerewe [emoji23][emoji23][emoji23]Ishu kubwa haipo.kwenye kupika mbao , tatizo la mbao kwa sasa lipo kwenye ukomavu wa mti uliokatwa hizo mbao!
Sao hill wanakata miti iliyokomaa sana na ndio mbao nzuri kwa ujenzi hasa kupaua .na ndio mbao ghali.
Mbao iliyokatwa kwenye mti usiokomaa huwa zinapinda muda zikikauka na kama ulipaua ndo ile unakuta mabati yaanaacha mwanya baada ya muda fulani.
Mbao isiyokomaa ni hasara hata kqa wenye hardwares wanaoziuza maana zikikaa muda bila kuuzwa zitapinda na kukosa soko huku unaziona , ndo maana huuzwa kwenye masoko ambayo ni bize kama buguruni ili zitoke kabla hazijakauka
Chuma ni gharama sanaNje ya mada ,Kwa wajuzi bei ya mbao ilivyochangamka na changamoto za kuliwa na wadudu sio wakati muafaka wa kutumia chuma badala ya mbao kwenye kupaua?
Jaribu kupiga hesabu vizuri mkuu , nadhani inatupasa kubadilika ukizingatia chuma last almost forever na mbao bora zinazidi kupoteaChuma ni gharama sana
Sina uhakika sana kama zinapatikana sabasaba kwasababu mimi sikuzinunulia huko. Ilikua 2017 bei yake ilikua nafuu kidogo kulinganisha na mbao za Iringa. Sikumbuki bei exactly ila zilikua na unafuu wa shilingi 400 hadi 700 kwa mbao kulinganisha na za Iringa. Tembelea masoko ya mbao ufanye utafiti kabla ya kufanya manunuzi.Nashukuru sana,lakini hata kule sokoni sabasaba si zinapatikana pia???
Nipe uzoefu wako ilikuwa lini ulipozinunua , ulinunua kwa sh ngapi na ulitumia dawa gani kuzitibu!??
Ingawa naona huu ushauri wa kupaka oil chafu mixer petrol ni wa kuzingatiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao za sao hill zipo aina kadhaa kutokana na upasuaji mbao, za kwanza ni za kutoka kiwanda kilichokuwa cha serikali caha sao hill , hizi utazijua kwa jinsi zilivyochanwa kwa umaridadi na ni ghali pia , aina ya pili ni mbao ambazo zimachanwa na watu binafsi hizi mara nyingi zinakuwa rough kidogo . Sao hill huwa anauza misitu kwa watu binafsi pia yeye zake anachana kwa kiwango cha juu ndo maana anauza ghaliHii kweli ni elimu tosha. Lakini sisi watu wa mikoani tutajuaje kuwa hizi mbao zimetoka sao hill??? Maana wafanya biashara ni wajanja wanaweza kukuambia ni mbao imetoka Sao hil kumbe imetoka Ukerewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nadhani ujenzi unaofata nitatumia chuma badala ya mbao! Kuna ujanja mwingi sana kwenye mbao na bado ni gharama na wala hazikai muda unaanza kusikia wadudu juu ya dari.Leo nimekutana na hili swala la mbao zinalowekwa kwenye dawa sasa katika uchunguzi wangu wa chini kwa chini bila wahusika kujua nikafanikiwa kupata kopo la hiyo wanayoita dawa ya mbao nikabaki nashangaa tuu. Je food color ni dawa ya mbao????? Kikopo hicho nime attach View attachment 2636569
Ndio wanasema mbao zime tritiwa
Tufanye utafiti wandugu tunapigwa sana yani food color ina treat mbao 🙄Mi nadhani ujenzi unaofata nitatumia chuma badala ya mbao! Kuna ujanja mwingi sana kwenye mbao na bado ni gharama na wala hazikai muda unaanza kusikia wadudu juu ya dari.
Mbao nzuri ni za SAOHILL, ila bei yake kidogo imechangamka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu ni wezi Sana. Bora kutumia oil ama wewe mwenyewe kwenda duka la agrovet kununua dawa.Leo nimekutana na hili swala la mbao zinalowekwa kwenye dawa sasa katika uchunguzi wangu wa chini kwa chini bila wahusika kujua nikafanikiwa kupata kopo la hiyo wanayoita dawa ya mbao nikabaki nashangaa tuu. Je food color ni dawa ya mbao????? Kikopo hicho nime attach View attachment 2636569
Ndio wanasema mbao zime tritiwa
Nina uhitaji wa kupata elimu maana natarajia kuezeka kuanzia tarehe za katikati za mwezi June.Ngoja waje kukupa muongozo...