Wacha bana...😳Hiyo kitu naijua. Hua hata mimi ninayo. Kuna kipindi nlienda wakakata almost nyama yote around my toe.
Njia pekee naitumia ni kuhakikisha sikati kucha mpaka chini kabisa. Naziacha kwa juu kidogo ili kucha isitoboe nyama around kidole..
Pole sana..
I know the feeling
Wacha bana...😳
Hapo ndio hujakata hadi chini? Mbona ziko tu chini kabisa ama ulimaanishaje?View attachment 2762398
Hizi ni za vidole za mkono... sasa mguuni ndo hatari.. with time you learn to manage them
Za,mikono hua nakata kama circle kwa pembeni maana kubaki na kucha ndefu kwa mwanaume sio staha. So after every 2 to 3 weeks nazikatA. Nkisahau unakuta zinatoboa mpka usaha kwa pembeni.Hapo ndio hujakata hadi chini? Mbona ziko tu chini kabisa ama ulimaanishaje?
Umenikumbusha kitu..Ingrown nail inatokana na nailbed kuingia kwenye sehemu ya nyama. Sasa huyo ndugu hizo antifungal na antibiotics alitumia za nini.
Kuna nail cutter maalum ya kuzikata ingawa inaumiza na kuna njia ya kufanya surgery sijui kama bongo ipo. Huyo anayo kwa vidole vingi huwa naiona kwa kidole kimoja kila mguu hasa gumba
Huwa inauma sana hiyo. Ni nailbed inatakiwa kufifishwa isiwe inaota inang'ata nyamaUmenikumbusha kitu..
Kwa gumba hata mie kuna wakati huko zamani niliwahi ipata. Ilikuwa nikimaliza miezi kama miwili sijafanya pedicure lazima kidole gumba kimoja nikute ishaingia ndani. Na ilikuwa inaingia tu kidunchu lakini inaum...
Jamani pole mwaya. Kama umeshajua namna ya adaptation ni nzuri sana. Just fit with the situation, jitahidi tu usiwe unasahau.Za,mikono hua nakata kama circle kwa pembeni maana kubaki na kucha ndefu kwa mwanaume sio staha. So after every 2 to 3 weeks nazikatA. Nkisahau unakuta zinatoboa mpka usaha kwa pembeni...
Thank you.Jamani pole mwaya. Kama umeshajua namna ya adaptation ni nzuri sana. Just fit with the situation, jitahidi tu usiwe unasahau.
Mimi size hiyo uwa nahisi kuumia. Kwanza siwezi kujikata kwa hiyo size.
Habari comrades,
Nina ndugu yangu anatatizo tajwa kwa muda. Wa miaka 7 sasa ametumia antibiotics na antifungal lakini hakuna nafuu kabisaaaa.
Naomba kufahamishwa kuhusu risk factors, causes, investigations and Rx
View attachment 2762389
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Una vidole visafi na kucha zake..usafi wa mtu huanzia kwenye kuchaView attachment 2762398
Hizi ni za vidole za mkono... sasa mguuni ndo hatari.. with time you learn to manage them